Isaiah 3:14-15


14 a Bwana anaingia katika hukumu
dhidi ya wazee na viongozi wa watu wake:
“Ninyi ndio mlioharibu shamba langu la mizabibu,
mali zilizonyang’anywa maskini zimo nyumbani mwenu.

15 bMnamaanisha nini kuwaponda watu wangu
na kuzisaga nyuso za maskini?”
asema Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote.

Copyright information for SwhKC